Moremi Ajasoro

Moremi Ajasoro alikuwa malkia wa hadithi wa Wayoruba na shujaa wao katika eneo la Kusini Magharibi mwa Nigeria ya leo ambaye alisaidia katika ukombozi wa ufalme wa Yoruba wa Ife kutoka kwa ufalme wa jirani wa Ugbo.[1]

Moremi alikuwa ameolewa na Oranmiyan, mwana wa Oduduwa, mfalme wa kwanza wa Ife.[2][3][4]

  1. "Did you know about the courageous Queen Moremi whose statue is the tallest in Nigeria?". www.pulse.ng (kwa American English). 2018-08-07. Iliwekwa mnamo 2019-05-08.
  2. Suzanne Preston Blier. "Art in Ancient Ife, Birthplace of the Yoruba", Harvard University, p. 83. Retrieved on December 22, 2016. 
  3. Dele Layiwola (1991). "The Radical Alternative and the Dilemma of the Intellectual Dramatist in Nigeria" (PDF). Ufahamu: A Journal of African Studies: 67–68. Iliwekwa mnamo Desemba 22, 2016. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Segun Thomas Ajayi (2007). Moremi, the Courageous Queen. Indiana University (Publications Limited). ISBN 978-9-788-1250-75.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search